October 13, 2014

MNYAMA WA FUTI 58 AKUTWA AMEFARIKI KATIKA FUKWE YA BAHARI MAREKANI.

Nyangumi 'Whale' akutwa amekufa katika fukwe ya bahari marekani akiwa na urefu wa futi 58. Aidha yangumi huyo inadaiwa kuwa ni miongoni mwa mnyama ambaye mkubwa kabisa kukutwa akiwa amekufa na kutupwa kwenye fukwe ya bahari. 



Mnyama huyo alikutwa karibu na viunga vya Smith County Park huko Shirley, New York, Marekani. Aidha, mnyama huyo akitambuliwa kama ni "Fin Whale" ni wapili kwa ukubwa badala ya Nyangumi wa Bluu "blue Whale". Vyanzo vya habari vinasema huenda mnyama huyo alishambuliwa na aina ya papa katika sehemu zake za mwili hadi kupelekea kufa.



Chanzo cha Habari~ Riverhead Foundation

No comments:

Post a Comment